Karibu kwenye mfumo bora wa Venocyber. Hii ni bot maalum inayokuwezesha kuview status za marafiki zako automatic saa 24 bila wewe kushika simu.
Jinsi ya kutumia:
- Bonyeza kitufe cha Connect Now hapo chini.
- Utaingizwa kwenye ukurasa wa kupata kodi.
- Andika namba yako ya simu kuanzia na kodi ya nchi (Mfano: 255761xxxxxx).
- Bonyeza "Get Pairing Code" na usubiri kodi itokee.
- Fungua WhatsApp yako > Settings > Linked Devices > Link a Device > Link with phone number badala ya QR.
- Ingiza kodi uliyopewa na bot itajiunga yenyewe!